Skip to main content

Kamusi Yaliyomo Aina za kamusi | Muundo wa kamusi | Faida za kamusi | Dhima ya picha katika kamusi | Marejeo | Tazama pia | Viungo vya nje | UrambazajiKuhusu kamusiGo-SwahiliWiki-KamusiKamusi ya Kiswahili na Kiingerezakuihariri na kuongeza habari

Pages using ISBN magic linksMbegu za lughaKamusiIsimu


nenoKiarabukitabulughaKiswahilialfabetimaanaufafanuzimanenomuhtasarisarufividahizoalfabeti












Kamusi




Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jump to navigation
Jump to search




Kamusi za Kiswahili




Kamusi ya Kiswahili-Kiswahili (kamusi wahidiya)




Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (kamusi thania)


Kamusi (kutoka neno la Kiarabu قاموس qamus) ni kitabu ambacho kinaorodhesha maneno ya lugha yaliyokusanywa kutoka kwa watumiaji wa lugha fulani, kwa mfano lugha ya Kiswahili.


Maneno hupangwa kwa mtindo wa alfabeti, hutoa maana, asili na ufafanuzi wa utumizi wa maneno na jinsi yanavyotumika au yanavyotamkwa.[1]






Yaliyomo





  • 1 Aina za kamusi


  • 2 Muundo wa kamusi

    • 2.1 1. Utangulizi wa kamusi


    • 2.2 2. Matini ya kamusi


    • 2.3 3. Sherehe ya kamusi



  • 3 Faida za kamusi


  • 4 Dhima ya picha katika kamusi


  • 5 Marejeo


  • 6 Tazama pia


  • 7 Viungo vya nje




Aina za kamusi |


Kuna aina mbalimbali za kamusi ambazo ni:


  1. Kamusi wahidiya yaani ya lugha moja ambako maneno yanapangwa na kuelezwa kwa lugha ileile (mfano: Kiswahili-Kiswahili)

  2. Kamusi thania yaani ya lugha mbili ambako maneno ya lugha moja yanaorodheshwa halafu maana huonyeshwa kwa lugha tofauti, mfani ni Kiswahili-Kiingereza, au Kiingereza-Kiswahili


  3. Kamusi elezo (ing. encyclopedia) inayolenga kukusanya maelezo ya mambo ambayo yanatajwa kwa maneno. Wikipedia ni kamusi elezo ya kwanza kwa Kiswahili.


Muundo wa kamusi |


Kimuundo kamusi imegawanyika katika sehemu kuu tatu:


  1. Utangulizi wa kamusi

  2. Matini ya kamusi


  3. Sherehe ya kamusi/hitimisho


1. Utangulizi wa kamusi |


Hii ni sehemu ya kwanza ya kamusi, sehemu hii hujumuisha muhtasari wa sarufi ya lugha yenyewe pamoja na maelezo ya namna ya kutumia kamusi.



2. Matini ya kamusi |


Hii ni sehemu yenye vidahizo vyote vya kamusi husika, kuanzia alfabeti a-z vidahizo vyote huorodheshwa hapa na kufafanuliwa.



3. Sherehe ya kamusi |


Ni taarifa zinazoingia mwishoni mwa kamusi.



Faida za kamusi |


  • Kamusi hutusaidia kujua misamiati mipya.

  • Kamusi hutusaidia kujua aina za maneno, kwa mfano kitenzi.

  • Kamusi hutusaidia hata kwa wale watu ambao hawajui lugha, k.mf. Kiswahili.

  • Kamusi huelezea zaidi kuhusu maneno. Kwa mfano: tembo - kisawe chake ni ndovu.

  • Kamusi hutusaidia kujua lugha ya kigeni, kwa mfano Kifaransa

  • Kamusi hutusaidia kusoma hata kwa wale wasiojua kusoma, kwa sababu kamusi huwa na michoro au picha.


Dhima ya picha katika kamusi |


Michoro (au picha) katika kamusi ina faida zifuatazo:


  • husaidia wale wasiojua kusoma;

  • husaidia kuelewa kwa undani zaidi maana ya neno.


Marejeo |




  1. * Masuko Christopher Saluhaya, 2013. ISBN 978 9987 9581 1 5.



Tazama pia |


  • Kamusi za Kiswahili


Viungo vya nje |



  • Kuhusu kamusi (elimumtandaoni)

  • Go-Swahili

  • Wiki-Kamusi

  • Kamusi ya Kiswahili na Kiingereza






Globe of letters.svg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kamusi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kamusi&oldid=1056705"










Urambazaji


























(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.040","walltime":"0.052","ppvisitednodes":"value":105,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":726,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":0,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":4,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":391,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 11.085 1 -total"," 73.89% 8.191 1 Kigezo:Marejeo"," 25.10% 2.782 1 Kigezo:Mbegu-lugha"],"cachereport":"origin":"mw1321","timestamp":"20190428003419","ttl":2592000,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":131,"wgHostname":"mw1267"););

Popular posts from this blog

Swift 4 - func physicsWorld not invoked on collision? The Next CEO of Stack OverflowHow to call Objective-C code from Swift#ifdef replacement in the Swift language@selector() in Swift?#pragma mark in Swift?Swift for loop: for index, element in array?dispatch_after - GCD in Swift?Swift Beta performance: sorting arraysSplit a String into an array in Swift?The use of Swift 3 @objc inference in Swift 4 mode is deprecated?How to optimize UITableViewCell, because my UITableView lags

Access current req object everywhere in Node.js ExpressWhy are global variables considered bad practice? (node.js)Using req & res across functionsHow do I get the path to the current script with Node.js?What is Node.js' Connect, Express and “middleware”?Node.js w/ express error handling in callbackHow to access the GET parameters after “?” in Express?Modify Node.js req object parametersAccess “app” variable inside of ExpressJS/ConnectJS middleware?Node.js Express app - request objectAngular Http Module considered middleware?Session variables in ExpressJSAdd properties to the req object in expressjs with Typescript