Pages using ISBN magic linksMbegu za lughaKamusiIsimu nenoKiarabukitabulughaKiswahilialfabetimaanaufafanuzimanenomuhtasarisarufividahizoalfabeti Kamusi Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Jump to navigation Jump to search Kamusi za Kiswahili Kamusi ya Kiswahili-Kiswahili (kamusi wahidiya) Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (kamusi thania) Kamusi (kutoka neno la Kiarabu قاموس qamus ) ni kitabu ambacho kinaorodhesha maneno ya lugha yaliyokusanywa kutoka kwa watumiaji wa lugha fulani, kwa mfano lugha ya Kiswahili. Maneno hupangwa kwa mtindo wa alfabeti, hutoa maana, asili na ufafanuzi wa utumizi wa maneno na jinsi yanavyotumika au yanavyotamkwa. [1] Yaliyomo 1 Aina za kamusi 2 Muundo wa kamusi 2.1 1. Utangulizi wa kamusi 2.2 2. Matini ya kamusi 2.3 3. Sherehe ya kamusi 3 Faida za kamusi 4 Dhima ya picha katika kamusi 5 Marejeo 6 Tazama pia 7 Viungo vya nje Aina za kamusi | Kuna aina mbalimbali za kamusi ambazo n...